World Vision TANZANIA
video

Financial literacy boost- Elimu kuhusu masuala ya fedha

Financial Literacy

Financial Literacy training is one of the Biblically-based Client Training Program that equips clients of VisionFund Tanzania Microfinance Bank and communities in WVT ADPs and other project areas to live out empowered joy-filled life that God intends; it is aims to empower and build knowledgeable corruption-free communities that are able to meet their basic needs.

Through animation cartoons, clients of VisionFund Tanzania and communities in the ADPs are provided with basic financial management skills and financial services provided by VisionFund such savings, loans and insurance and their responsible use. By putting into practice the lessons learned from the videos, communities will undoubtedly be responsible in managing their finances and thus successful in their business and life in general. These lessons are useful for families, entrepreneurs Producer groups, Savings groups and the general community at large. Please watch through our Youtube channel at https://www.youtube.com/playlist?list=PLdlezuQuHttst2vAZgie3kc2XsmhLw8XT 

Elimu kuhusu maswala ya fedha

Elimu ya utunzaji wa fedha ni kati ya mafunzo yaliyo na msingi wa masomo ya Biblia. Elimu hii inawapa wateja wa VisionFund na wanajamii kwenye ameneo ya ADP kupata kujifunza matumizi mazuri ya fedha zao ambayo yatawawezesha kufanikiwa kibiashara na kuwa na uwezo wa kujipatia kipato cha familia katika mazingira yasiyokuwa na rushwa na hatimaye kuishi maisha ya furaha kama yalivyo makusudi ya Mungu.

Kupitia katuni hizi, wateja wa VisionFund Tanzania na wanajamii katika meneo ya WVT ADP wanapata elimu kuhusu utunzaji wa fedha zao na pia wanafahamu huduma za kifedha zitolewazo na VisionFund ikiwemo kuweka akiba, kukopa na bima pamoja na matumizi yake sahihi. Mafunzo haya ni muhimu kwa familia, wajasiriamali vikundi vya uzalishaji, vikundi vya akiba na mikopo na jamii nzima kwa ujumla. Tafadhali tazama katika chaneli yetu ya Yutube kwenye: https://www.youtube.com/playlist?list=PLdlezuQuHttst2vAZgie3kc2XsmhLw8XT